BREAKING NEWS: Diamond Platinumz Akabidhiwa Ubalozi wa GSM Mall

BREAKING NEWS: Diamond Platinumz Akabidhiwa Ubalozi wa GSM Mall


MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz kwa mara nyingine tena amepata shavu baada ya kukabidhiwa ubalozi GSM Mall ambao ni wauzaji wa wamiliki wa maduka mbalimbali ya SuperMarkets jijini Dar MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz kwa mara nyingine tena amepata shavu baada ya kukabidhiwa ubalozi GSM Mall ambao ni wauzaji wa wamiliki wa maduka mbalimbali ya SuperMarkets jijini Dar MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz kwa mara nyingine tena amepata shavu baada ya kukabidhiwa ubalozi GSM Mall ambao ni wauzaji wa wamiliki wa maduka mbalimbali ya SuperMarkets jijini Dar MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz kwa mara nyingine tena amepata shavu baada ya kukabidhiwa ubalozi GSM Mall ambao ni wauzaji wa wamiliki wa maduka mbalimbali ya SuperMarkets jijini Dar

44 Replies to “BREAKING NEWS: Diamond Platinumz Akabidhiwa Ubalozi wa GSM Mall

  1. Bwana atakulinda na mabaya yote. Atailinda nafsi yako Bwana atakulinda utokapo. Atakulinda uingiapo tangu sasa na hata milele Mond

  2. mungu.akulinde baba tifha kher.unapata kwa mke.huyo zar na mguu mzuri kwako pia sisi wana wake huwa tuna miguu.mibaya unaolewa na mme ana pesa ukiigia tuu ndani ya nyumba yake anasirisika gfula na mungine ana olewa na mme masikini.ukiigia tuu kwake mungu anamtajirisha

  3. Maisha ni kutafuta hayaji kwa kuchafuana mitandaoni ni wakati sasa wa kufanya kazi kwa bidii tumuige DIAMOND

  4. Ndugu Nasib samahani wewe ni muislam , toa hayo vinywele Kaka utapendeza aisee , kuwa kama Mwanaume wa kiislam Kaka na hereni waachie wanawake na mikufu pia , tuogopeni Moto utaotuchoma siku ya Hesabu , je tunachuma nini Duniani ?

  5. maashallah kaka mondi mungu akupe maisha marefu.dah nimependa nimependa sana hilo tangazo wewe na Zari adi rahaaaπŸ’–πŸ’–πŸ‘πŸ‘

  6. Maisha hayana formula jaman khaaa no masters no degree no certificate only talent aliyokuwa nayo inamkutanisha na watu wenye ma degree yao hahaha usikalili

  7. Diamond!!. May the Lord answer you when you are distress.May the name of the God of Jacob protect you. May he send you help from the sanctuary and grant you support from zion. Amen.

  8. Diamond!!!. May he give you desire of your heart and make all your plan succeed. May we shout for joy over your victory and lift up our banners in the name of our God. May the Lord grant all your requests, Amen.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *